Karibu
PIKIPIKI BAJAJI USED
Wauzaji wa na Pikipiki Bajaji za Mitumba kwa Bei Nafuu
PIKIPIKI BAJAJI USED ni duka linaloaminika kwa uuzaji wa bajaji na pikipiki zilizotumika (used) kwa hali nzuri na bei nafuu. Tunahakikisha unapata chombo bora, salama, na kinachokidhi mahitaji yako ya usafiri au biashara.
Tunachouza
- Pikipiki zilizotumika zenye hali nzuri
- Bajaji zilizotumika kwa matumizi ya binafsi au biashara
- Ushauri juu ya chombo bora kulingana na mahitaji yako
Pata chombo bora kwa bei nafuu – Tunauza kwa kuaminika!
Wasiliana Nasi
📍 Location: Mbagala Zakhem, Temeke – Dar es Salaam
📞 Simu: +255 787 215 961
📧 Email: shop@pikipiki-used.shop